22.11.13

Wednesday, December 28, 2011

ALBUM YA INTER-NETWORK INATARAJIA KUINGIA SOKONI JANUARY 2012

kundi la muziki wa hip hop linalojulikana kwa jina la TGP (Truth Gives Power) lenye maskani yake mkoa wa Arusha linapenda kuwatangazia fans wote wa muziki wa hip hop album yao mpya inayoenda kwa jina la Inter-network inatarajiwa kuingia sokoni Januari 2012 ni album yenye kiwango cha juu ambayo inatarajia kukalisha balaa kwenye industry ya muziki bongo kutokana touches tofauti kabisa zilizoguswa na maprodyuza mbalimbali tunatoa wito kwa mashabiki wote wa muziki wa hip hop wakae mkao wa kula

No comments: