22.11.13

Sunday, December 04, 2011

KAPUMZIKE KWA AMANI MR EBO

kaka wa marehem Mr Ebbo, Olais Lishilaa Motika, amezungumza na Blog ya DJ FETY hii leo na kusema kuwa alikuwa akiumwa ugonjwa wa kansa ya damu kwa takriban miezi mitano. Mr ebbo amefariki juzi usiku kuamkia jana katika hospitali ya Mt meru na mazishi yatafanyika siku ya juma tatu saa saba mchana mkoani Arusha

No comments: