22.11.13

Thursday, December 08, 2011

KITAMBI NOMA BONANZA

Ni Miaka 50 ya Uhuru huku tukipunguza VITAMBI...KITAMBI NOMA BONANZA inakuletea
bonge la bonanza la soka sambasamba na utambulisho wa KITAMBI NOMA TEAM.
Basi kwa pamoja tukutane siku ya kesho Ijumaa Tar: 09/12/2011
katika viwanja vya shule ya msingi SUYE kuanzia saa 2 asubuhi.

Nyote mnakaribishwa!

No comments: