22.11.13

Thursday, December 08, 2011

THE MAKING OF MUSIC VIDEO "TUNASHUKURU KWA YOTE" DITTO

Video hii imetengenezwa na Blueboy Film Kutoka South Africa

3 comments:

Anonymous said...

Ditto umejua kuimba na kutunga naupenda sana wimbo huu jamani keep it baby.

Anonymous said...

ILIKUWA KAMA JANA SIKOSEI,NIKAWA NAJIULIZA SANA HII NGOMA YA DITO MBONA HATENGENEZI VIDEO YAKE??..NIKABAKI NAJIPA JIBU TU MWENYEWE KUWA AKIITENGENEZEA VIDEO ITAKUWA SAFI SANA MAANA NI BONGE LA NGOMA NALINAFAA KUWA NA VIDEO.NANZURI ZAIDI MPK NIKAWEKA SCRIPT YAVIDEO HIYO KICHWANI KUWA IFANYWE VIPI.
WELL!NIKAMA KANISIKIA VILE,HAYA MI NGOJA NIISUBIRI SASA.NAAMINI HATO NIANGUSHA KAMA ALIVYOFANYA KWAVIDEO ILE YAKWANZA[UWIII ILIKUWA MBAYA MPK KICHEFU CHEFU]

Anonymous said...

DITTO WIMBO WAKO MZURI SANA NAIMANI NA VIDEO ITSIMAMA UMEJUA KUTUNGA BRO KEEP IT COZ UMEFUNIKA MBAAAAYAA