22.11.13

Monday, December 12, 2011

MISTARI YA LEO NI KUTOKA KWA MSANII KALA JEREMIAH

 
NAITEGA MISTARI KAMA SUMU YA PANYA,MA MC HAWANA RADHA KAMA JUICE YA NYANYA,WE HASI KAA MBELE NIKO NYUMA YA CHANYA,SIKU HIZI WATU WANAJUA SO HUWEZI DANGANYA,MI NIMKALI NAJIJUA SO SIHITAJI UNIAMBIE,KAMA UNABISHA ANZILISHA NIKUCHANE UKIMBIE,USIBANE HIZO TING'A ACHA WAZI NIINGIE,MI MWANAHARAKATI WE MWANAMUZIKI NJOO HAPA UTUIMBIE,....
malizieni masela

No comments: