Mwisho wa mwaka huu umekuwa mzuri kiasi kwangu,cz nymbo yangu ya Nikubalie imefanya vizuri baadhi ya maeneo,Naamini mwakani nitafanya vizuri kwani tayari nina nymbo nyingi nilizo shirikishwa na baadh ya wasanii,,pia nategemea baada ya video ya nyimbo niliyofanya na Linex na Gerry inayoitwa I wanna know kuonekana kabla ya x mass mabadiliko yatakuwepo makubwa,,tayari nimepata nafasi ya kufanya nyimbo na msanii toka Uganda Agie Cox,,ianayoitwa Negomba yaani Natamani,,nawaomba watanzania suport yenu ili nifikie malengo,,
MUNGU ANISAIDIE NA AENDELEE KUNIPA PUMZI
No comments:
Post a Comment