22.11.13

Wednesday, December 07, 2011

NEW TRACK: ManBatoo aja na "Kila Mutu"

Manbatoo a.k.a. Mapenzi a.k.a. Rudbwai a.k.a Mkurujenzi wa JamSession anakuja na brand new ngoma ya mahadhi ya dancehall inayo kwenda kwa jina "Kila Mutu" na imesukwa noizmekah studios kwa defxtro,pini hili la ki dancehall/kwaito linazungumzia uaminifu katika mapenzi na mizinguzi katika maisha na starehe.asema "Pini hili nimelirekodi dakika sfuri mana idea ilikuwa mazuka ya gafla xana alaf mori wa style za kenya tokana na trip zangu na encounter kadhaa na artists wa kenya kama JuaCali na kina alpha wakati nawashghulikia kuja kufanya show ya Vodacom Intercollege Bash Arusha kipindi cha nyuma,Otherwise project hii itakuwa katika compilation yangu ya mwakani.Jamsession kama kawaida wikend hii jumapili ya tarehe 11 dec tutakuwa na Jamdropa deejayz pale kwa decks alafu YungOmega atakisanuwa kwa stage maragga dancehall ya kudanja raia..wagwaaaaaaannnnn!!!!!
  

No comments: