22.11.13

Monday, December 05, 2011

WIMBO MPYA WA HUSSEN MACHOZI "JELAA"

 
Huu ni wimbo mpya wa Hussen unaoitwa Jelaa..wimbo huu nilivyousikiliza ukanichukua kinoma noma sasa sijui wewe utakuchukuaje na msg nzuri na tamu.


Mr Ebbo enzi ya uhai wake akiwa studio kwake Motika REC pamoja na msanii Hussen Machozi na hapa Hussen anasema kilichopo moyoni mwake

"KAZI YA MUNGU SIKU ZOTE HAINA MAKOSA..NAAMINI NAMI SIKU YANGU IPO WATALIA NA KUNI MISS SANA KAMA NAVYO KUMISS BRO"

No comments: