22.11.13

Sunday, December 04, 2011

YALIYOJIRI JANA KWENYE EPIQ NATION ARUSHA.....

CMB Prezzo msanii kutoka Nairobi Kenya

 Chidi Beenz na JCB pamoja kwa steji wakiimba wimbo wa UKISIKIA PAAAH

 Warembo hawa walikuja kwenye show na msanii Prezzo

 Nikiwa na rafiki yangu Wabogojo

 Hapa nilikutana na mama wa rafiki yangu nikapata nafasi ya kutembelea Super Market yake ambayo ipo pale Arusha kwenye jengo la CCM inaitwa MASOBE SUPER MARKET

No comments: