22.11.13

Monday, January 30, 2012

Lost Side Toka Pande za Arusha

Lost Side ni Hiphop Mc's Toka Pande za Arusha linaloundwa na Binara,Erybwaxy na Scom.New joint wanayodrop nayo hapa ni "Battle",Ikiwa ni production ya hapa hapa arachuga hiphop city."Sisi kama Lost Side tupo watatu na music sasa 2nafanya katika studio mbalimbali apa tanzania chini ya uongozi wa BM records ambayo ni studio  ye2 binafsi kwaajili ya kuunda projects mixtapes,Track ya "battle tumerecord pande za noizmekah.com chini ya bro Defxtro na hopefully hii ngoma mtaipenda na kutupa support,Game kiujumla lina vikwazo hapa na pale na tunashkuru sana wadau kadhaa kutupa sisi uhsauri na moyo tuzidi pambana na game coz we can!!!!

1 comment:

BiNaRA said...

Doing gud music is apart of our life down in LOSTSIDE,, but actually doing it and geting a chance to rep the HIPHOP CITY OF TZ makes it even beta...... binara