''NEVER BE ME'' By JayMoe Feat. MIMS (USA),Immu Cabir (Mozambique) & Avil (TZ) produced by P-funk & Antonio
Hi!...this is the Official release of the song ''NEVER BE ME'' By JayMoe Feat. MIMS(USA), Immu Cabir (Mozambique) & Avil (TZ) produced by P-funk & Antonio....we apology 4 the inconvenience
Safi sana Jay mo yani wewe nimsanii mzuri mkali nakubali Kazi zako kinda oh kuangusha majungu ndugu yangu Mimi nipo markani kwamfano lebo ya Sony msanii kupewa lebo lazima uwe na Nidham ya ofisi issue za majungu azipo kaka ukiona kuna bif ujuwe watu wanataka kutengeneza pesa ok Kazi NJEMA mafanikio bora
INAPENDEZA MTU KUFANYA KITU TOFAUTI NA WENGINE NA PIA INAJENGA HESHIMA KWA WENGINE KUNA WASANII WENGI WAZAMANI AMABAO ULIANNZA NAO J MOO ILA WENGI WAO HAWAWEZI KUFANYA NGOMA KAMA UNAZO ZIFANYA SASAHIV ....... HONGERA YAKO MR ABDULLRAHMAN YUSUPH KUTOKA TANGA ONE LOVE
2 comments:
Safi sana Jay mo yani wewe nimsanii mzuri mkali nakubali Kazi zako kinda oh kuangusha majungu ndugu yangu Mimi nipo markani kwamfano lebo ya Sony msanii kupewa lebo lazima uwe na Nidham ya ofisi issue za majungu azipo kaka ukiona kuna bif ujuwe watu wanataka kutengeneza pesa ok Kazi NJEMA mafanikio bora
INAPENDEZA MTU KUFANYA KITU TOFAUTI NA WENGINE NA PIA INAJENGA HESHIMA KWA WENGINE KUNA WASANII WENGI WAZAMANI AMABAO ULIANNZA NAO J MOO ILA WENGI WAO HAWAWEZI KUFANYA NGOMA KAMA UNAZO ZIFANYA SASAHIV .......
HONGERA YAKO MR
ABDULLRAHMAN YUSUPH
KUTOKA TANGA ONE LOVE
Post a Comment