22.11.13

Monday, January 09, 2012

UJIO MWINGINE TENA WA JAFFARYMEZ NA MWANADADA NAZIZI NDANI YA WIMBO MMOJA.

Pichani ni Producer Dunga aliyekaa kule kwenye Keyboard halafu anafuatia msanii JaffaRymez halafu msanii mwingine kutoka Nairobi Kenya anajulikana kwa jina la Nazizi halafu huyu hapa mbele ni Producer Lamar na hapo wapo katika studio ya Lamar Fish Crab inayopatikana maeneo ya Kariakoo.

Usiku huu msanii JaffaRymez anatengeneza wimbo mpya ambao utakuwa umemshirikisha msanii Nazizi kutoka nairobi, wimbo huo nimeambiwa umepewa jina la TEMBEA na utasimamiwa na Producer Dunga pamoja na Lamar mwenyewe. Haya sisi tukae mkao wakula kuona ujio huo mwingine wa JaffaRymez

3 comments:

Anonymous said...

huwo lamzima utakuwa unamuhusu sheroz banji na simwengine.

Anonymous said...

Sasa ilo pozi kwa kweli la lamar kushika na kuonyesha camera ivyo ni ushamba jamani ah! Hajazoea tuuu?u can take the monkey out of the bush but u can't take the bush out of the monkey!

Anonymous said...

HUYU JAMAA NI FALA KWELI KUIMBA HAJUI WALA KUCHANA HAJUI...HE'S JUST A PIECE OF SHITE....WASTIN HIS PRECIOUS TIME.