22.11.13

Tuesday, February 21, 2012

ALICHOKISEMA JOSEPH MBILINYI KWA WATU WAKE BAADA YA MAPATANISHO

KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA NAOMBA TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI KUYATEKELEZA YOTE...

KUANZIA SUALA LA STUDIO YA RAIS KURUDISHWA KWA BASATA ILI IWE YA WASANII WOTE,PIA T.F.U IJIKABIDHI KWA CHAMA HALALI CHA WASANII YAANI T.U.M.A KAMA AMBAVYO TULIKUWA TUNADAI NA MPAKA ISSUE ZA WASANII KUNYANYASWA NA KUBANIWA NA PIA SUALA LA MALIPO HAFIFU VYOTE VIMEJADILIWA NA KUKUBALIWA KWA UTEKELEZAJI...HAIKUWA KAZI RAHISI,KWANZA ILIANZA KWA WAO KUMPIGIA MWENYEKITI WANGU MBOWE KUTAKA TUKAE CHINI,AMBAPO KAMANDA MBOWE ALINISHAURI TUKAE NAO CHINI KAMA KWELI WANA NIA YA KUYAMALIZA...BAADAYE WAKAMPIGIA MR SHIGONGO AMBAYE NI WAZI KUWA NI KATI YA WATU WANGU WA KARIBU NAYE BAADA YA KUONGEA NA MR. KUSAGA TU ALINIPIGIA NA KUNISHAURI HIVYO HIVYO...

NA KAMA HAIKUTOSHA WAKALIFIKISHA HILI SUALA KWENYE KAMATI YA BUNGE AMBAYO ILINITAKA NIIPE MAELEZO YA KIINI CHA MGOGORO NA NIKAFANYA HIVYO AMBAPO PIA BAADA YA KUNIELEWA WAKASHAURI NIKAE NAO CHINI...NA HATIMAYE SUALA HILI LIKAISHIA MIKONONI MWA WAZIRI NCHIMBI PAMOJA NA MHE. TUNDU LISSU(MP) KUWA WAPATANISHI WETU...WAZIRI NCHIMBI AKAANZA KWA KUMUITA RUGE DODOMA NA ALIKUJA TUKAKAA KWA HATUA YA KWANZA NA HATIMAYE LEO TUKAKAA TENA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA UTAMADUNI CHINI YA DR NCHIMBI NA MHE TUNDU LISSU NA HATIMAYE TUKAFIKIA HATUA HII YA LEO...VITA YETU ILIKUWA NA HOJA HATUKUWA TUNAPIGANA TU KWA CHUKI BINAFSI KAMA BAADHI YA WATU WALIVYOKUWA WANAJARIBU KUIWEKA,KWAHIYO KAMA HOJA ZETU ZIMEELEWEKA KWA SASA TUNATAKIWA KUSHUKURU NA KUFURAHIA...LAKINI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MISIMAMO IKO PALE PALE NA NIMEWAWEKA WAZI KUWA ANTI-VIRUS ITAENDELEA KUWEPO ILI KUENDELEA KU-SCAN VIRUS WENGINE KAMA MAMENEJA MASOKO NA WENGINE WATAKAOJITOKEZA KWANI NCHI INAPOSHINDA VITA AU HATA KUFIKIA TU MAKUBALIANO YA AMANI NA NCHI ADUI YAKE HAINA MAANA NCHI HIYO INAVUNJA JESHI LAKE...

ASANTENI SANA...

6 comments:

Anonymous said...

TUJIFUNZE KUSAMEHE
Kwa nini kusamehe? Kwa sababu ni faida kwako.
Kusamahe ni kitendo cha kupooza au kuacha kujisikia umekwazwa, au umekosewa au umeudhiwa au kuondoa hasira mwa mtu ambaye amekukosea.
Faida ya kusamehe imeelezwa sana katika dini, elimu ya sayansi na matibabu pia.
Wengi wamekosa kuponywa magonjwa hata kwa maombi kwa sababu wameshindwa kusamehe.
Wengine afya zao zinazidi kuzorota kisa hawataki kusamahe wenzao.
Watu wanaweza kutuumiza kwa njia nyingi zaidi ya milioni hata hivyo tunahitaji kuwasamehe, pia kusaheme wakati mwingine si rahisi kama wengi wanavyodhani hata hivyo inabidi kusamehe.
Hata hivyo kama vilivyo vitu vingi hasira kwa wengi ni is easier said than done.
Huwa inakuwa ngumu sana kusaheme hasa pale tunayetaka kumsamehe anaonekana hana sababu au hastahili kusamehewa

Anonymous said...

harakati hazijadumu hata mwaka hakuna kwa makubaliano hapo sugu kashatulizwa...watu wanaendelea maaana alitaka ziba riziki tungeni na nyimbo za kuomba msamaha sasa

Anonymous said...

sawa yalio fikiwa sio mabaya ila tatizo hayo mapatano yana mlenga m2 moja au kwa wale wana harakati wote mana isije ikatokea likaja kundi lingine kutoka kwenye ukoo wa vinega sugu lazima awangalie alio kuanao katika vita mana hayo mapatano hadi inafika jana baadhi ya wanao unda kundi lavinega walikua hawana taarifa yoyote kuhusu upatanishi sugu ilibidi awaandae wanawe papema lakini kwamaamuzi haya inaonyesha wazi kama usuluishi huu unamuangalia m2 mmoja.

Anonymous said...

sugu umeuwa vinega wenzio....wasitegemeee kupata airtime mjengoni

Anonymous said...

Sugu ameifanya kama antivirus ya kwake anaamua analotaka ila alichokifanya kitamfanya ajute mbeya mjini 2015 na bora asije saiz coz I WANNA KILL SUGU

Anonymous said...

Google my ass you motherfucker snitch na kuanzia leo naanza kutembea na gun ole 2sikutane HATUKUTAKI MBEYA