Siku Chache baada ya kutoka na kufanikiwa kuwashika mashabiki kwa ngoma yake mpya iliyobatizwa jina la (Jig jig) nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Amiry ally 'Cool Boy' ameibiwa mkwanja na vitu kadhaa vyenye thamani ya ngawira za kibongo Milioni 1
Akizungumza na blog hii mapema leo Cool Boy amesema kuwa fedha kiasi cha shilingi Laki 7 na pamoja na seti ya viatu aina ya raba (Adidas na Nike) zenye thamani ya shilingi Laki mbili na nusu pamoja na DVD Player aina ya Sing Sung zimeibiwa kutoka katika moja ya maduka yake yalipo Temeke jijini Dar.
"Kuna kijana mmoja anakwenda kwa jin ala Rojas Gerald aliyekuwa nafanay akazi kwenye duka hilo, jana majira ya jioni baada ya kufunga alikuja kuniaga kuwa anakwenda nyumbani kufanya usafi na kunikabidhi funguo lakini baada ya kufika kwenye duka hilo niligundua kuwa fedha na vitu hivyo havikuwepo, nilipojaribu kumtafuta kwa simu hakupatikana na baadae nikapata taarifa ku huko alipokuwa anakaa pia ameiba baadhi ya nguo za watu na kutoweka", alisema Cool Boy
katika hatua nyingine Msanii huyo ameongeza kuwa juhudi za kumsaka kijana huyo zinafanyika na tayari suala hilo ameshalikisha katika kituo cha Polisi Chang'ombe Temeke jijini Dar.

No comments:
Post a Comment