22.11.13

Wednesday, February 22, 2012

JCB ANAMLEA MWANAE KWA SASA.

Kwa sasa msanii kutoka Kijenge juu Arusha ameamua kutulia na kumlea mtoto wake aliyepewa jina la ALBERT JACOB MAKALLA aka Makalla. 
Pichani hapo juu ni mke wa JCB anaitwa Diana pamoja na JCB na mtoto wao Albert

No comments: