22.11.13

Thursday, March 08, 2012

HILI NALO NENO......Mweh

Asanteni sana kipindi cha XXL cha clouds fm kuiweka sawa hiyo diss mliyoisoma jana, kwa wale waliohudhuria show yangu ya Tar 4 pale DAR LIVE wanaweza wakatoa ushahidi ni show ya aina gani niliyoipiga pale siku hiyo na sivyo kama huyu HATER alivyosema!! Nahitaji sana kukosolewa ila pakiwa na ukweli ili nijirekebishe na sio CHUKI BINAFSI mkazileta kwenye kazi na maisha ya watu..

3 comments:

Anonymous said...

ka ulizingua usiambiwe!! Kifupi you are a disgrace to this game!! tunaokuaminia tumepoteza imani nawe!! umepoteza dira kilichobaki na wewe unyoe kiduku tu huwe kama hao masharobaro!! mie shabiki wa proffessor ila si huyu wa sasa anayeimba makapuka!! mie shabiki wa proffessor J mwanaharakati aliyebadilisha hili game... na sina haja ya kukudiss ila ukweli ndo huo kaka!! badilika kwa ajili ya watu wako!!

Anonymous said...

profesa ww legend inabidi ufanye kazi kwa bidii watoto watakuhadhirisha maana wanaonekana makini kuliko wewe kwa ushauri inabidi ujiimalishe ili wakufanyie kazi ww maana umekuwa kwa game kipindi badala ya kushindana nao,,,mdau london

Anonymous said...

Prof mimi ni fan wako pamoja na ileee HBC tangu kipindi kilee.......... Naona unadeliver vitu vilevile tu, hutupi kigeni ktk hiphop,vina vingi lakini na ujumbe wenye maana za kitoto tu. nakushauri kama kweli gemu unalipenda, huna budi ubadilike, tena kabisaaa!! kama sitakua nmekosea wewe ndo imeipa heshima bongofleva(sio hiphop)kutoka watu wanaona uhuni mpaka wakaelewa kipi kinachoongelewa kwenye huo mziki sasa ni ajabu toka kipindi kile niko primary hadi sasa bado uko vilevile unazidi kushusha heshima yako baada ya kuijenga....mtazamo wangu sasa ilibidi uwe na record cmpny ambayo umewasign wasanii kibao wakufanyie kazi sio ww kwenda kwa stage na kutia aibu na uwezo hafifu, Tupo nyuma yako Jay.....tunataka ujumbe wenye msisimko wa hali ya juu kwa SASA na kama kweli unaona umeshindwa tutangazie hadharani kama ni hivyo. BADILIKA JAY!!!!