22.11.13

Saturday, March 31, 2012

Professor Jay ft Marco Chali - Kamili Gado ( Official Video HD)

4 comments:

Anonymous said...

Hey Adam,
Kwa sasa naona unatoa video zilienda shule to the next level keep good wrk brother
Opp frm KC

Anonymous said...

Big up sana Heavy weight keep doin it ..!!

Anonymous said...

Video iko poa sana ila bado lighting nzuri zinakosekana, kuna shots nyingi zinakosa good lighting ndio mana zinazokea giza na pia kwenye shots za daylight kama pale kwenye beach atumie hata polarisers ama filters basi hazina gharama

Anonymous said...

Unakoelekea sio sawa J wa mitulinga..nini tena na kwaito,cjui kitu gani.,angalia tucje ckia umekuwa rapa wa ngwasuma tu..maana bado kuimba ndombolo tu sasa...kaka rudi kwenye mashairi ya ukweli,au umeishiwa!!achana na viduku mkubwa