22.11.13

Thursday, March 29, 2012

SHETTA AIPELEKA NIDANGANYE KWENYE KIDEO.

Rais wa Dastamina Shetta amesema kwa hivi sasa yupo katika mchakato wa kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nidanganye ambao amemshirikisha rafiki yake mkubwa Diamond. Shetta amesema siku si nyingi utengenezaji wa video hiyo utaanza na anawatafuta warembo wazuriiiiiiii ambao hawajawahi kuonekana kwenye video ya msanii yoyote hapa bongo.

No comments: