22.11.13

Monday, April 09, 2012

HILI NALO NENO......Mweh

"NENO NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI"
Lulu ni Mtanzania mwenzetu, rafiki yetu,mdogo wetu pia.chuki tunayoanza kutengeneza kati ya Marehemu kipenzi cha wengi "KANUMBA" na Lulu ningeomba tuache kwanza, tumpumshe mwenzetu kwanza kesho. ANGALIZO TU

3 comments:

Unknown said...

Ya hilo kweli ni neno kaka mpoto amenena maneno na hukumu nyingi za nini? BINADAMU HUCHAGUA NA MUNGU HUPANGA- rubuyemajaliwa

patastories said...

True

Anonymous said...

mimi nadhani ni wakati muafaka sasa wa bongo movie kuhakikisha kumsaidia mdogowao lulu kumpa ushirikiano wakutosha aondakane na matatizo alionayo sasa mimi kama mdau mkubwa sana wa bongo movie naweza kusema lulu si muuaji,nibahati mbaya na mauti siku zote hutaka sababu tu.lulu hamuezi marehem kanumba kwa ubavu,na alikua mpenzi wake,pili she is so sweet sote tunalikubali hilo naamini hta yeye anamlilia kanumba kwa uchungu sana bongo movie,wazazi ndugu na jamaa marafiki wa kanumba plz msaidieni lulu,atoke kizuizini ni hayo tu.manikiz