22.11.13

Tuesday, April 10, 2012

LIVE KUTOKA LEADERS CLUB KUUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

 Wanakwaya wakiimba nyimbo za uzuni.

Hii ndio sehemu ambayo mwili wa marehemu Kanumba unatarajiwa kuwekwa 

 Hawa watoto wanaopita ndio watoto waliokuwa wakicheza movie na marehemu Kanumba enzi ya uhai wake

 Mama yake Kanumba aliyenyoosha mkono juu kuwapungia watu waliokuja uwanjani

 Huyu dada hapa mbele alikuwa akilia kwa uchungu sana hadi nilikuwa namuonea huruma

 Hemed na Yusuph Mlela wakiingia

Makamu wa rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali 

 Mke wa rais Mama Salma Kikwete

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akitoa heshima zake za mwisho kwenye mwili wa marehem.


9 comments:

Anonymous said...

Jamn wat a unblieve thng...ma eyez can nt stp2 cry....rest in peace STEVE!!
More m2kio djchoka.

Anonymous said...

nimekukubali kwa hili choka mana mpk sasa hamna m2 yoyote anaetujuza kinachoendelea huko

Unknown said...

So sad kiukwel R.I.P THE GREAT KANUMBA WE ALWAYS REMEMBER YOU

Interestedtips said...

Asante Choka kwa matukio, ambao hatuko huko twayapata kama tupo, na tukisikiliza ndo twayapata zaidi, yaani niko job kama sipo, machozi tu yanitoka mie

Anonymous said...

Ndivyo hivyo mwenze2 kapanda mapema daladala c bado tunasubir !!

Anonymous said...

Mungu ailaze roho yke mahala pema peponi AMINA.

Anonymous said...

We Choka mbona unatuyeyusha??!! Is it "LIVE kutoka Leaders Club kwenye Mazishi ya Kanumba"???!! Au "..kwenye KUUAGA mwili wa marehemu Kanumba"??!!

You need to change the TITLE of this blog post, Choka. At least "LIVE Leaders Club ktk kuuaga mwili wa Kanumba kabla ya mazishi hapo baadae"

R.I.P Steven C. Kanumba

Anonymous said...

tutakumiss sana Steve Kanumba .... Mungu akupokee kwenye nuru ya uzima wa milele.Amina

Anonymous said...

kwa kweli afadhali angekufa ray