22.11.13

Thursday, April 19, 2012

NANI MKALI KATI YA MANGWEAR NA CHIDI BEENZ NI JUMAPILI HII NDANI YA CLUB BILLICANS

Mangwear 

Chidi Beenz

8 comments:

Anonymous said...

kabla hata ya mpambano chid hawezi mfikia magwear katu katu, mwenyewe anajuwa hilo, bora tangazo lingekuwa chid na magwear kwenye jukwaa moja

Unknown said...

Mbona iko wazi jamani kwamba mshndi COWOBAMA

GODDAMIT said...

wacha ngoma itambae....both of em r supadupa mc in da game

Unknown said...

Kwel mwana maana ngwr n moto mwingne kabsa xo m2 mzma asije kalishwa kama izzo kwa roma

Anonymous said...

Ngware kuma nina

Anonymous said...

hivi kwa nini mastar wa bongo wanapenda kushindanishwa hivi??? huu ni upuuzi, piga ua lazima mmoja atajiumiza jina lake. mashindano kama haya wawaachie maunderground ambao bado wanahangaika kutoka. kama mdau alivyosema hapo juu, kwani wakisema tu ngwea na chidi ndani ya stage moja kuna ubaya gani?????

Anonymous said...

aah,,, chidi hamfikii ngwair hata kwa aloge,,,, ktk wasanii wazur bongo ngwair ni namba moja, duh hyo cku lazma niende hata iwe vp,,, naju husband wangu atakataa but poa tuu liwalo na liwe lazima nkamwone mtoto wa east zoo,,,, halla!!!!

Anonymous said...

yes