22.11.13

Thursday, April 26, 2012

NEW TRACK: Adam Kanyama - A till K (Prod.Masse)

Nakitambulisha kichwa kingine kipya katika game la Hip Hop anaitwa Adam Kanyama (born 1995) rapper na mwandishi wa nyimbo ambaye amekulia huko Norsborg, Stockholm Sweden. Mama yake ni mswedish lakini baba yake ni Mtanzania. Dogo ameanza kuchana tangu akiwa na miaka 11 na alikuwa kwenye kundi liitwalo "The Basicz" akiwa na Jordan Peltier na Chris Kipa.
Sikiliza wimbo wake halafu unipe Comments zako>>>

3 comments:

Anonymous said...

uyu dogo namnyaka ni mkari sna kwa lugha zte kiswed kiswahil kingereza yani kiufupi ni noma uyu dogo nishamuona mara kibao akiojiwa kwenye redio za apa swedeni ata mm mwenyewe alinitisha snaaaaaa

Unknown said...

Kiukwel dogo anaweza ila akaze zaid kwan kuna watata sana katka stream hii

Anonymous said...

tjo bree kontakta mej via email: mussaally@hotmail.com så gör vi en fett video !! one