22.11.13

Wednesday, April 11, 2012

NYOTA NDOGO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI.

Msanii wa muziki kutoka Mombasa Kenya Nyota Ndogo ampoteza babake leo asubuhi kule Muweza Tanga Tanzania na anatarajiwa kuzikwa kesho. Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Mzee Abdallah.

1 comment:

Anonymous said...

Siyo muweza ni MUHEZA Tanga,r.i.p roho ya marehemu..