22.11.13

Tuesday, April 10, 2012

Salamu za Rambirambi toka kwa Nyalusi.

Nakumbuka wakati namkabidhi Hayati Steven Kanumba Medani na Certificate kama Muigizaji Bora wa Mwaka 2011 wa ZIFF ndani ya Maisha Club mwaka huu February na baada ya hapo tukaelekea Zanzibar pamoja. Medani hii amezikwa nayo kitu kinachonipa faraja sana na kuonamchango wake kwa sanaa ya Filamu Tanzania. RIP STEVEN KANUMBA

No comments: