22.11.13

Wednesday, April 11, 2012

TISHIO la TSUNAMI linaweza kutokea pwani ya Tanzania kuanzia saa 1 leo usiku,

Pichani ni maeneo ya Makumbusho yalivyo kwa sasa hivi

kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi hapa Dar es Salaam mamlaka ya hali ya hewa imesema tishio la Tsunami linaweza kutokea pwani ya Tanzania kuanzia saa 1 usiku na saa 3 usiku leo. 
Sehemu nyingine zitakazo weza pata Tsunami ni SEYCHELLES, PAKISTAN, SOMALIA, OMAN, MADAGASCAR, IRAN, UAE, YEMEN, COMORES, BANGLADESH, MOZAMBIQUE.

1 comment:

Anonymous said...

Wamesha lift tsunami warnings bt those are things binadamu hatuna knowledge navyo huwa naweza kusema tunabahatisha tu,mjuzi ni muumba pekee so anytime can happen,lets just keep he almighty in us all the time.