22.11.13

Thursday, April 26, 2012

Veejay Tash Na Meccacheka kukisanua Arusha Kesho

Veejay Tash Na Meccacheka kukisanua live pande za Empire Sports Bar ndani ya Shoprite Complex Arusha Kesho kwa hisani kubwa ya Sister Tumaini wa Empire pamoja na Brother Erick wa MJ,Entry ni bure so come one come all tufurahie muziki wetu wa Arusha bila kukosa show kali toa kwa breakdancers wa ukweli...

1 comment:

Anonymous said...

pamoja zaisi na zaidi ya marekan na obama