22.11.13

Monday, April 09, 2012

WIMBO WA Steven Kanumba - NITAINUA MACHO YANGU

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni hakuna mwandishi yeyoye aliyeongea na Lulu kuhusu ushahidi aliotoa kuhusu kifo cha Kanumba, na kuhusu alichohojiwa na polisi hakiruhusiwi kusemwa hadi pale uchunguzi utakapokamilika, NA PIA Uchunguzi wa kilichosababisha kifo cha Steven Kanumba bado unaendelea, na leo ndo mwili wake ulikuwa unafanyiwa uchunguzi hospitali hivyo basi TAARIFA zote zilizosambazwa na watu sio rasmi, uchunguzi utakapokamilika Jeshi la Polisi ndo litatoa taarifa kamili.

1 comment:

Anonymous said...

ooh God mpokee kiumbe wako aliyekutumikia na kusifu jina lako