22.11.13

Friday, May 25, 2012

BRAND NEW: C-SIR MADINI (BOGA NA UA LAKE)

Mambo vipi, 

Nashukuru sana kwa support mnayoendelea kutupatia Tetemesha Records. Plz pokea kazi mpya ya C-sir Madini. Baada ya Nishike Mkono tuliyoitoa January mwaka huu na video yake kutoka April 2012, hii ndio new release ambayo tunaitoa rasmi leo April 24 wimbo unaitwa BOGA NA UA LAKE.

Ni wimbo wenye ujumbe wa moja kwa moja kama ukiuskiliza kwa makini utauelewa. Unahusiana na Kumpenda mtu kama alivyo na mapungufu yake yote. 

Katika wimbo huu C-sir ameimba amempenda binti lakini baadae kaja kugundua kuwa binti ni muathirika wa gonjwa la ukimwi, lakini hiyo haikuwa sababu ya yeye kumuacha na akaendelea kusisitiza pamoja na yote hayo hatamuacha. (Sio story ya kweli ni utunzi tu kuwakilisha yaliyoko mtaani)

CREDITS

ARTIST:  C-SIR MADINI
SONG: BOGA NA UA LAKE
COMPOSER: C-SIR MADINI
PRODUCER: KID BWOY
STUDIO: TETEMESHA RECORDS (DAR)

Contacts: C-sir - 0712 719004

No comments: