Anaitwa Ibrah Rush msanii mkatika kwa hivi sasa yupo tayari kwa ujio wa video yake mpya inayoitwa Serikali akiwa amemshirikisha Kala Pina. Wimbo huo umetengenezwa na Producer Pallah ingawa sikuambiwa anatokea studio gani na video ya wimbo huu umetengenezwa na kampuni ya video inayoitwa 1990 chini ya Dir Ntuly, nimeambiwa tarehe 7 mwezi huu ndio itatoka
No comments:
Post a Comment