22.11.13

Friday, May 25, 2012

KTMA WINNERS TOUR - MTWARA

Washindi wa Kili Music Award jana walianza safari ya Mtwara na walifika salama kabisa majira ya usiku na kupata mapumziko mazuri, ingawa gari lilikuwa na wasanii wachache huku wengine wakija leo ijumaa na ndege. Show siku ya kesho jumamosi

No comments: