22.11.13

Friday, May 11, 2012

KTMA WINNERS TOUR WATEMBELEA KILI FM MOSHI.

Sister Esta kutoka FrontLine 

 Dj Choka & Khadija Kopa, nampenda sana huyu mama, sichoki kumsikiliza wakati wote akiongea tukiwa kwenye tour bus, halafu ndio mara yangu ya kwanza kukutana nae uso kwa uso na kumshika, nilikuwa namuona tu na wazazi wangu kuzipenda nyimbo zake

1 comment:

Anonymous said...

Ally una upendo...ulivyomshikilia da Estha kama mama yako!!!