22.11.13

Tuesday, May 29, 2012

NEW TRACK: Wajukuu - Papi


wajukuu NI crue mpya jijini ambayo Inamahusiano ya moja kwa moja na kila moja alie na babu au bibi duniani iwe ameshatangulia mbele za haki ama laa bado yupo hai! ila kama unavyojua hakuna jumuiya, au club isiyokuwa na wawakilishi, sasa wawakilishi wa wajukuu wanatoka sehemu tofauti tofauti ili kuwawakilisha wajukuu kwa namna ya kipekeee! wa kwanza ni daudi lucas! huyu ndiye yule aaliyetambulika kama manager, au kiongozi wa zamani wa mexicana ambae alikaimu sehemu ya meseen selector kiongozi wa studio ya d fatalitty i am, baada ya kujitoa mexicana lacavela kundi ambalo kwa liliaanda kesi dhidi ya baghdad na mwishowe wasanii wa mexicana kutokumpa saport yoyote ile mara baada ya meseen kutamani kurudi kundini kwa mabavu! hivyo kwa sasa anawawakilisha wajukuu ili kuratibu mipango yote iliyotazamiwa na itakayotazamiwa kufanyika! Dj Remy kwa upande wa ent hatutaweza kupata shida kwa kuwa wjukuu pia wanae muwakilishi wao kwenye tun table ambae kabla ya kupiga sahii ya kudumu na wajukuu ent alikuwa nchini Ug kama radio Dj wa kule radio karibuni tatu zenye majina huko na alipokuja Nchini tanzania maraa baada ya kukaa nje kwa muda mrefu ameamua kusimama kidete kuinua tasnia ya ma dj hapa nchini ili kufikia miaka 5 mbele kuwe na wimbi kubwa la ma dj kama alivyo yeye! wa tatu anafahamika kama D gold, msanii ambae anakuja juu kwa kasi saana baada ya kuachia ngoma yake ya kwanza iitwayo tomorrow aliyofanya kwa mesen selector mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kuja nchini  tokea mjini kampala ambako ndiko alikuwa akifanya shughuli zake za mziki! yuko pia mjukuu wa haule mdogo wa mwisho wa profesor jay ambae anamfuata mgongoni Black rhino ambae ndie aliwahi kumtabiria baghdad kuwa baghdad kabla ya kuwa mjukuu wa lucifa, na wa mwisho huyu ni baghdad  nadhani hakuna haja ya kumuelezea saaaaana yeye kashakiri ya kuwa ni mjukuu wa lucifa that means yuko tayari kuipeperusha flag ya chama. saport yako ukiwa kama mwana africa mashariki unaehitaji mziki wa africa mashariki utambulike dunia nzima kwa kuplay part yako! maendeleo yetu ni maendeleo ya africa mashariki, ni maendeleo ya africa ni maendeleo ya mziki wa nyumbani na pia ni maendeleo yako kamaa mjukuu!

   in case of anything 
Baghdad - 0652 89 48 71
Daudi Lucas - 0716 89 00 85

No comments: