22.11.13

Wednesday, May 09, 2012

RICH MAVOKO SCANDLE.

Anaitwa Producer Nicco kutoka Noma Rec, muda mfupi nilipigiwa simu na kuambiwa kuwa wimbo alioutoa msanii Rich Mavoco umetolewa bila yeye kujua, sasa ili nisiendelee sana naomba uone mail aliyonitumia na pamoja na wimbo wenyewe ambao aliutengeneza yeye halafu Rich akaenda kuuweka kivingine katika studio nyingine.

Nanukuu "Oya Choka huyu dogo Rich alikuja kufanya hii track kwangu Noma record kabla hatujamaliza makubaliano ya nyimbo  akaomba kama demo ili akampe director wa video aanze kuandikia script mara buu ba nashangaa nyimbo nyingine ameiachia ambayo amekopi some idia kwenye beat yangu. Hii sio sawa maana huyo dogo na wasanii wengine wanatabia ya kufanya nyimbo studio moja na kwenda nyingine alafu wanatumia idia ya pruducer aliyefanya nyimbo kwa mara ya kwanza. kwa ufupi wana copy beat."

Mwisho wa kunukuu na hapa nakuwekea wimbo alioutengeneza jamaa

Halafu huu hapa chini ndio ambao unasemekana jamaa alienda studio nyingine na kuanza upya recording 

Nasubiri maoni yako ukiwa kama mdau wa muziki wa bongo fleva

6 comments:

Anonymous said...

Dah, ame copy wimbo mzima. sana sana ameongeza bass kwenye beat ya noma record. Hii si sawa, cha muhimu Nicco afungue kesi ili iwe fundisho kwa wapuuzi wachache wanaopenda kula kupitia jasho la wenzao. By the way big up Nicco, kipaji unacho. keep up the good work.

Anonymous said...

kijana hawe mbunifu, nyimbo mara kamuibia aliyekuwa dancer wake follow me, mara sasa mery me. halafu zinasound the same kama follow me, sijui uvae shera nivae suti, mkubwa kama unaweza unganisha na hile follow me, ndiyo watu watajua ni nini nazungumzia, mie siyo msanii lakini wasanii wengi wa hm wanakosea, wao wanataka watoe nyimbo kila mwezi hii kitu haiwezekani tulieni mpike nyimbo zenu, cheki mwana fa huwa afanyagi makosa kisa akulupuki, dogo mavoko ajipange upya, haiwezekani kazi mbili zote wanakusingizia wewe

Anonymous said...

Hapo pana ukweli hapo hizi beat zinafanana inaonekana huyo jamaa wa pili ameenda kuongeza utundu kidogo ila jamaa ana haki ya kulalamika kwani idea ilikuwa ya kwake.

Anonymous said...

pole sana Nicco track yako hulie mfanyia mixing na beat ni bora zaidi rich mavoko kabugi kweli

Hadj Rehan said...

NGOMA ILIPORUDIWA IMEKUA KALI ZAIDI NYIE HAMUONI....SAFI TU MAVOCO U DID T 4UR OWN GUWD

Anonymous said...

@Hadj, wacha use... ungekuwa nafasi ya nicco ungefurahia hicho kitendo. pumbavu kabisa.