22.11.13

Saturday, June 16, 2012

JIACHIE NA CAMERA YA DJCHOKA KWENYE REDD'S MISS DAR CITY CENTER 2012.

 Sinta & B12 ndio waliokuwa ma MC wa shughuli nzima ya Miss Dar City Center

 Recho kwa steji....

 Gadna G Habash alikuwa chief jaji

 Wema Sepetu alikuwa akiwauliza maswali washiriki

 Diamond kwa steji....

 my home boy Martin aka Tiny Dad

 Bob Junior na nduguye

 Ben Kinyaia

 Mshindi wa Miss Dar City Center kwa mwaka 2012 ni Matilda Martin
 Linah Sanga, Recho & Sharomillioner

 Abou & Penniel

Hapana chezea watu na miguu yao

No comments: