22.11.13

Sunday, June 03, 2012

JIPE MASHAVU.

Kutoka "swaggers on" aliomshirikisha Godzilla, Cyril na stereo mpaka "I miss you" aliofanya na dully sykes. Sasa Afro maniac anakuletea "jinsi navyoroll"  akiwa na gadfather wake mbezi na the kid cyril kamikaze. Kwa sasa yupo kimasomo wingereza jijini Liverpool lakini bado anaendeleza harakati.

No comments: