Karibuni wadau wote katika Magazine mpya ambayo inapatikana katika mtandao pekee,lengo kubwa la Magazine hii ni kuwapasha, si Habari pekeyake lakini pia pamoja na mambo mengine mengi ambayo ukifungua mtandao utayaona. kama ungependa kutuma habari kulingana na Categories utakazo ziona tunawakaribisha sana.Pia wataarifu ndugu,jamaa na marafiki. Tunatanguliza Shukurani.
Link: http://thisdaymag.blogspot.com/
Kwa mawasiliano: thisdaymagazine@live.com
No comments:
Post a Comment