22.11.13

Tuesday, June 05, 2012

Mashauzi Classic kufanya Summer Tour Europe

Bend ya Mashauzi inategemea kufanyamaonyesho yake bara la ulaya  hii ni moja ya shoo inayo tegemea kufanywa katika mji mkuu wa Uholanzi The Haag habari hizi zimetoka kwa promoter wake King James wa Uholanzi..

No comments: