22.11.13

Wednesday, June 13, 2012

NEW TRACK: Witnesz and Mokeyz - De Toir

Mwana dada kama mALKIA WA HiP HOP WITNES :Ngoma inaitwa De Toir kwa kifaransa na ina lugha 7 kiswahili,kifaransa,kipotugiz,kinyakyusa,kuzulu,kikhosa pamoja ni kiingereza matamshi ya wimbo huo kwa kiswahili ni De-Twaa
NA tunafanyia video yake mwishoni mwa wiki hii.

No comments: