22.11.13

Thursday, June 07, 2012

STUDIO MPYA NK PRODUCTIONS IMETOA PUNGUZO LA BEI YA ASILIMIA 65.

Studio mpya jijini inayokwenda kwa jina la NK Productions! Iko pande za Mikocheni mtaa wa Migombani jirani na hospitali ya Kairuki. Studio inafanya muziki wa aina zote na hata matangazo pia kwa kutumia vifaa vya kisasa.
 
Kwa sasa wameshaachia "track" moja kwa jina "NIONEE HURUMA" imefanywa na Vitus akimshirikisha Blad Key. Kwa sasa pia kuna punguzo la asilimia 65 kwa kila kazi moja.
 
Unaweza wasiliana kupitia:
 
Simu:  0714 084 980
          0717 317 402
 
E-mail: nkproductions@hotmail.com

 Hapa ni msanii Vitus akiwa na Producer wake anaitwa Christone

Vitus akiwa kwenye chumba chakuingizia sauti

Vitus akiwa na msanii Blad Key ambaye wameimba wote wimbo mmoja usikilize hapo chini
Huyu nae ni msanii wa studio hiyo ya NK, wakati nikiingia studio nilikuta Producer akiendelea na mixing ya wimbo wake huo na nikapata bahati ya kuusikiliza, anaitwa Cany

Sikuondoka hivi hivi ilibidi nipate picha ya kumbukumbu na ndugu yangu Vitus, toka utotoni tumepitia mambo mengi hadi kufika hapa tulipo, washkaji wetu wa Sinza na wale wa pale kanisa katoliki la Sinza wanalijua hilo, toka kutumikia Kanisani, Viwawa, kuuza vitabu na rozari za kanisani yaani daah long time.

No comments: