S.U.A. (Saving Underground Artists) ni jukwaa huru kwa ajili ya vijana kukutana na kubadilishana mawazo kwa kutumia nguzo za Hip Hop. Wahusika hasa ni wasanii chipukizi ambao hawana uwezo wa pesa kufanya sanaa. Lengo kubwa hasa ni kuwalinda vijana chipukizi wenye vipaji, wakati huo huo kutumia jukwaa kuelimisha jamii. Kutakuwa na vitu kama semina kwa ajili ya wasanii — kuwafundisha ili waje kuwa wasanii wazuri na kuwaelemisha kuhusu sehemu na majukumu yao kwenye jamii.
Nyimbo hii imetengenezwa na wasanii walio shiriki S.U.A event kama mfano wa Project ya OKOA MTAA ambayo itazinduliwa mwisho wa huu mwaka.....Kwa maswali, msaada ama ushauri tuandikie kwenye suafreestage@gmail.com............ama web page yetu @S.U.A(Saving Underground Artists)

No comments:
Post a Comment