Usiku wa leo pale maeneo ya Mikocheni Legency Park Hotel mwanadada Mboni Masimba aliwaalika baadhi ya watu waje kutizama show yake wote kwa mara ya kwanza ikirushwa na EATV.
Nikiwapigia ndugu jamaa na marafiki kuchek show ya Mboni.
Crew nzima inayofanya show ya Mboni iwe safi na bomba
Ben & Sinta
Ben, Mboni & Sinta
No comments:
Post a Comment