Abdallah Hamis Ambua wengi tunamjua kwa jina la Mjukuu wa Ambua Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio & TV leo majira ya saa 9 alasiri amempoteza mwanae wa kwanza wa kiume kuzaliwa. Mtoto huyo ambaye alikuwa na siku moja toka kuzaliwa hiyo jana mchana.
Na haya ndio niliyoyakuta kwenye facebook ya Dullah
Hii ni status ambayo aliiandika jana mchana baada ya kupata mtoto na alikuwa na furaha sana na furaha hiyo nikampigia simu na kumpa hongera na kuanza kumuita baba na kumpa maneno mengi sana akiwa kama kijana mwenzangu ambaye yupo kwenye Ndoa
Leo majira ya saa tisa alasiri ndipo nilipo pata taarifa kutoka kwa rafiki yangu kuwa mtoto wa Dullah amefariki dunia kiukweli niliishiwa nguvu sana na sikuamini.
Inna Lillah wainna Ilay Rrajiuun
1 comment:
May GOD rest him in peace! tuko pamoja Big Bro!
Post a Comment