22.11.13

Tuesday, July 17, 2012

HII NDIO SHOW ILIYOFANYWA LEO MJINI KIGOMA Leka Dutigite‬ @ Lake Tanganyika Stadium,

 Mh Zitto Zuber Kabwe akiongea na wananchi wa Kigoma

Lake Tanganyika Stadium ukiwa umetapika kwa wingi wa watu

  na Joshua Nassary

 Wabunge wakitgita

2 comments:

group26mathree.blogspot.com said...

fundisho kwa mikoa mingine

kaozab said...

wametisha, inahamasisha sanaa ya bongo but watu wasivyopenda nilimsikia msanii mmoja baada ya kuulizwa juu ya tukio hili akisema "hayo ni marudio tu tushafanya sana". jamani kwanini wabongo hatupendani na kutiana moyo kwa mambo mazuri!