22.11.13

Tuesday, July 31, 2012

HUU NDIO UJUMBE MFUPI ALIONITUMIA DIAMOND KUHUSU HALI YAKE KIAFYA

 Hii ndio msg ambayo alinitumia Diamond wakati akitoka hosp kuhusiana na yeye kuumwa hadi ikapelekea kukimbizwa hosp, Namnukuu
"Dah nilikuwa nakohoa sana ikasababisha hadi homa, leo nikaamka nimezidiwa sana mwanangu ndo wakanilaza na ikabidi nifanyiwe vipimo vikubwa. ndio wakanicheki moyo labda unatatizo, wakanicheki TB na damu pamoja na maradhi mengine wakaona niko poa. Wamesema nilifanya show kwa mda mrefu so nikawa na experience hali ya hewa ya sehemu tofauti tofauti mara kwa mara sometimes vijijini so hali ya hewa vumbi pia imezingua"
Mwisho wa kunukuu, hadi naandika habari hii ameniambia anaendelea poa kidogo, 
ugua pole ndugu yangu urudi kama zamani na uendeleze bakora kwenye kila show utakayoifanya hommie