22.11.13

Monday, July 30, 2012

Legend-Cannibal New video Coming Soon

Zoezi zima la shooting lilifanyika jana jumapili,video imesimamiwa na kampuni ya Boomba waliofanya She said dat ya Wyre,hii itakua single ya pili kuwa released kutoka kwenye album mpya ya Cannibal ''The Chosen One'' baada ya here I come aliyofanya na Wendy Kimani

Producers John B(Tanzania) na provoke(Kenya) wakifuatilia tukio kuhakikisha mambo yanakwenda sawa

1 comment:

Anonymous said...

This is very good man can't wait to see the track..big up!!