22.11.13

Sunday, July 15, 2012

NENO LA LEO KUTOKA KWA Nikki Mbishi BabaMalcom

Sio Msanii,sio mwanamitindo,sio mfanya biashara,sio mtu wa media yoyote ile...sasa una-FRONT kwenye big places na mitandaoni ili iweje ikiwa huna IMPACT wala faida kwa binadamu wenzio,tulia tu waache wenye KARAMA hizo waonekane#HOVYOOO midananda wakubwa nyie#

No comments: