acha kuua wenzako wewee. una uhakika gani kama anatumia powder??au ulimuuzia .?? acha kuharibu majina ya wenzako na kama umemuona anafanya hivyo je ulishawai kumsihi aache au unataka misifa kwenye blogs.
Huyu jamaa wa kwanza juu anachonga kitu cha ukweli. sio lazima umuzie mtu unga ndo ujue anatumia unga. Cowboy nimeshakutana nae mara kibao akiwa amembembea kwa powder. Ata lost asipojitambua. Jamaa amekaa kwenye game miaka kibao, anajua sana music ila inasikitisha ukikutana nae hali aliyekuwa nae..mwendo bajaji au lifti ta Noah ya TID. Jipange man.
3 comments:
Jamaa anajua ila powder ndo inamzingua. Wake up bro vinginevyo utakuwa ombaomba soon.

Post a Comment