22.11.13

Friday, July 06, 2012

NEW MAISHA CLUB DODOMA NDIO HABARI YA MJINI.

Huu ndio muonekano mpya wa Maisha Club iliyopo mkoani Dodoma, baada ya matengenezo ya mda mfupi sasa imefunguliwa tena upya ikiwa na muonekano mpya na wameongeza upande wa VIP. 

Anaitwa DVJ Tariq ukiingia ndani upande wa V.I.ME basi utakutana nae huyu na kupata burudani ya huwakika

 Huku ndio upande wa VIP kama unavyoonekana zikiwa zimewashwa taa zake.

Hyperman HK akimfanyia interview ya TV DJ Pac kwaajili ya kurushwa katika Television ya DTV

Mtu mzima DVJ Majizo akiwa mtamboni akiporomosha mvua ya mawe kwenye upande wa music mzuri

1 comment:

Anonymous said...

Nice