22.11.13

Sunday, July 29, 2012

NEW TRACK: Momba & Juma Nature - Mdundiko

Mambo niaje ndg zangu??poleni na mfungo mtukufu wa ramadhani..!!hii ni ngoma mpya ya MOMBA ambayo safari hii kamshirikisha JUMA NATURE ngoma hii inaitwa MDUNDIKO.imefanywa na producer MAZOU kutoka MAZOU RECORDS.
Tunategemea sapoti yako sana hasa ukiwa kama mdau wa muziki wetu wa kitanzania..momba ni msanii ambaye ana rekodi kadhaa nyuma ambazo ni dar es salaam,gari,mimi sio sharobaro na kabwela...

+255 714 885380 MOMBA.

1 comment:

Anonymous said...

Juma nature hakiyamungu unajiwekea usiku hapo bongo kiwango chako kipo juu sana..bro choka hebu mfanyieni huyu kijana mipango ya kutoa ngoma na watu kama kina kanye west au jigga man..bro choka pliz hebu jaribu kuongea na hao watu ili wamtoe huyu kijana wetu coz hao watu hawana noma kabisa as long wakijua kutakua na biashara nzuri.hapo baadae watamtoa tu am sure nature ndio kijana pekee wakutoa ss watz..na kufungua mirango kwa wengine..ok ni hayo tu bro choka..ni mm mdau niko uk.