22.11.13

Sunday, July 29, 2012

NIDA kuongeza mda wa zoezi la vitambulisho vya taifa


Mamlaka ya vitambulisho vya taifa imetoa taarifa za kuongezwa muda wa wiki moja wa zoezi hilo jijini dar es salaam na sasa litamalizika Agosti 6 mwaka huu.

No comments: